ZAHIR ALLY ZORRO "AJITULIZA" LAMADA HOTEL AKIIVUTIA KASI MASS MEDIA BEND

MKONGWE Zahir Ally Zorro amefafanua kwamba hivi sasa anafanya muziki wa peke yake akiwa na gitaa moja, wakati akisubiri kuibuka upya kwa bendi yake ya Mass Media.


Akiongea na Saluti5, Zorro amesema kuwa anapatikana zaidi kwenye hotel tatu za Lamada ambazo ni pamoja na ile ya Ilala, White Sand na ya katikati jijini Dar Salaam maarufu kama “Lamada Inn Call.” 

No comments