ZLATAN IBRAHIMOVIC AIP[OTEZEA OFA YA KURUDI ITALIA KATIKA KLABU YA NAPOLI

GAZETI moja nchini Hispania limeandika kwamba nyota wa Manchester, Zlatan Ibrahimovic amekataa ofa ya kurejea kucheza Ligi ya Italia “seria A” katika klabu ya Napoli.


Zlatan anayetisha kwa mabao ndani ya Manchester United mkataba wake unagonga kengele ya hatari na wadau kadhaa wa Man United wameshaanza kupiga kelele wakitaka apewe mkataba mwingine.

No comments