MSHAMBULIAJI wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic anajiandaa kuondoka kwenye klabu hiyo kipindi cha majira ya joto licha ya kocha wake, Jose kumtaka abakie hapo.

Kwa mujibu wa Daily Mirror, Ziatan raia wa Sweden mwenye umri wa miaka 36, amebainisha wazi kwamba, anataka kucheza katika timu ambayo imefuzu kucheza Ligi ya Mabinwa Ulaya.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac