ZLATAN IBRAHIMOVIC AZUA HOMA KUBWA KWA MASHABIKI WA ROSTOV FC

MASHABIKI wa Rostov FC inayocheza na Manchester United katika mchezo wa kombe la Euro wanasema kwamba watahakikisha kwamba Zlatan Ibrahimovic anazuiwa kwa gharama zozote.


Baadhi yao wameanza kuchangisha pesana pesa kuwapa ofa mabeki na hadi jana tayari mashabiki hao wameshatenga kiasi cha euro 2,750 kama posho kwa beki atayehakikisha kwamba Zlatan haleti madhara.

No comments