ALEXIS SANCHEZ ANUKIA CHELSEA… Conte aonyesha uwezekano wa kuinasa saini yake

KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte ameonyesha uwezekano wa kuinasa saini ya mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez raia wa Chile wakati ambapo mchezaji huyo anasuasua kusaini mkataba mpya kwenye kikosi hicho cha London.


Conte anataka kumsajili Sanchez kama mbadala wa Eden Hazard ambaye anaripotiwa kutimkia Real Madrid msimu ujao. 

No comments