ARSENAL, MANCHESTER UNITED ZAONGOZA KUSAKA SAINI YA MLINZI WA NAPOLI

MLINZI wa Napoli, Elseid Hysaj anasakwa na klabu za England za Arsenal na Manchester United zinazoongoza katika mbio hizo.

No comments