ARSENE WENGER "KUMUONDOA" ZIDANE REAL MADRID MWISHONI MWA MSIMU HUU

TIMU ya Real Madrid imeripotiwa kufanya mipango ya chini kwa  chini ili kumnasa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger wakati wa majira ya joto mkataba wake utakapokuwa ukingoni.


Madrid wamepanga kumnasa kocha huyo ikiwa aliyepo sasa Zinedine Zidane atashindwa kuondoka na mataji mwishoni mwa msimu huu.

No comments