ATLETICO MADRID YAVUNA USHINDI MWEMBAMBA KWA LEICESTER CITY


Atletico Madrid imeibuka na ushindi mwembamba wa 1-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani dhidi ya mabingwa wa England, Leicester City.

Antoine Griezmann alifunga bao hilo pekee kwa mkwaju wa penalti kunako dakika ya 26, ushindi unaowapa matumaini Leicester City ya kulipiza kisasi kwenye mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.

ATLETICO MADRID (4-4-2): Oblak 6, Juanfran 6.5, Godin 6.5, Savic 7, Filipe Luis 6.5; Gabi 7.5, Saul 6.5, Carrasco 7 (Correa 65), Koke 7.5; Griezmann 8, Torres 6 (Partey 75)

LEICESTER CITY (4-4-2): Schmeichel 6, Simpson 6.5, Benalouane 7, Huth 7, Fuchs 6.5; Drinkwater 6, Ndidi 6; Mahrez 7, Albrighton 6.5; Okazaki 6 (King 45), Vardy 6 (Slimani 77)

No comments