Habari

BAO LA MARTIAL LAJA NA ‘MAUMIVU’ …MANCHESTER UNITED KUILIPA MONACO PAUNI MIL 8.5

on

Manchester United italazimika kuandika hundi ya pauni milioni 8.5 kwenda klabu ya Monaco baada ya Anthony Martial kufikisha goli lake la 25.
Sehemu ya mkataba wa uliofikiwa wakati United ikimnunua Martial mwaka 2015 kutoka Monaco kwa pauni milioni 36, iliitaka klabu hiyo ya Old Trafford kulipa pauni milioni 8.5 iwapo mshambuliaji huyo wa Kifaransa atafikisha magoli 25.
Martial alifunga katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Premier League dhidi ya Burnley.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *