BARCELONA YAMNYATIA PAULO DYBALA ILI KUZIBA PENGO LA NEYMAR ALIYE MBIONI KUUZWA

KLABU ya Barcelona imeweka wazi juu ya mpango wake wa kumnasa mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala ili kujiandaa kuziba nafasi ya Neymar anayeripotiwa kutaka kuwekwa sokoni mwishoni mwa msimu huu.


Juventus imebainisha kuwa iko tayari kumwachia Dybala iwapo Barcelona wataweka mezani ofa kubwa kwa ajili ya staa huyo.

No comments