BELLE 9 AJISAFISHA KUHUSU MADAI YA KUACHIA WIMBO "MBOVU"

BAADHI ya mashabiki wamekuwa wakidai wimbo wa Bell 9 wa "Mzuri" haujafanya vizuri tofauti na nyimbo nyingine ambazo msanii huyo amewahi kuziachia.

Akizungumza katika kipindi cha Flavour Express cha maisha FM ya Dodoma, Bell amesema wimbo huo umefika pale alipokuwa aliuweka kwenye mtandao wake wa Soundcoud kwa mara ysa kwanza ili mashabiki wake wafurahie muziki mzuri lakini amekuwa akipokea simu nyingi kutoka kwenye vituo mbalimbali vya redio wakimtaka awatumie wimbo huo ili waucheze.


Mwimvbaji huyo ameongeza kuwa tayari ameshafanya kolabo na Saida Kalori na wanasubiri muda mwafaka ufike ili waweze kuuachia.

No comments