CHELSEA NA TOTTENHAM SASA NI PAMPA 3 PAMPA ...ubingwa hauna mwenyewe


Tottenham ambayo imefanikiwa kushinda mechi 7 mfululizo za Ligi Kuu ya England, imezidi kuwakaribia viongozi wa ligi hiyo Chelsea hasa baada ya Manchester United kuwafunga vinara hao 2-0.

Tottenham sasa inatofautina na Chelsea kwa pointi nne tu huku zikiwa zinalingana michezo.

Chelsea imekuwa na mwendo usio tabirika katika wiki za hivi karibuni na kupelekea Tottenham kupunguza pengo kuanzia pointi 13 hadi 4.

No comments