CHELSEA, PSG WAANZA "KUPIGA DOMO" NA ALEXIS SANCHES

VINARA wa Ligi Kuu England, Chelsea na Paris Saint-Germain wamefungua mazungumzo na mshambuliaji wa Arsenal na Chile, Alexis Sanchez, 28.

No comments