CHELSEA YASHINDA 2-1 NA KUIBUKA KIJOGOO KWA MANCHESTER CITY … Eden Hazard tisha sana


Eden Hazard ameifungia Chelsea mabao mawili wakati Chelsea ikiiadhibu Manchester City 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.

Hazard alifunga dakika ya 10 na 35 huku Sergio Aguero akifunga bao pekee la City kunako dakika ya 26.

No comments