Chelsea inazidi kutimua vumbi Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Everton 3-0  kwenye dimba la Goodison Park.

Mabao ya Chelsea yalifungwa na Pedro Rodriguez, Gary Cahill na
Willian, yote yakitinga wavuni kipindi cha pili.

Everton: Stekelenburg, Holgate, Jagielka, Ashley Williams, Baines, Gana, Davies, Valencia, Barkley, Calvert-Lewin, Lukaku


Chelsea: Courtois, Azpilicueta, Luiz, Cahill, Moses, Kante, Matic, Alonso, Pedro, Hazard, Costa
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac