CHRISTIAN BELLA AZIDI KUTESA ANGA ZA KIMATAIFA ...AUSTRALIA WAMPA SHOW NNEMfalme wa masauti - Christina Bella - ambaye kwa sasa ndiye supastaa wa muziki wa dansi TZ, anaendelea kuchanja mbugua katika midani ya show za kimataifa.

Mwimbaji huyo anayewatetemesha pia wasanii wa bongo fleva, atakuwa na maonyesho manne nchini Australia kuanzia April 21 ambapo atatumbuiza katika mji wa Sydney.

April 22 Bella atakuwa kwenye mji wa Perth, April 28 ni zamu ya Melbourne  na April 29 atakuwa Brisbane. 

No comments