DAVID DE GEA ATENGEWA PAUNI MIL 52 REAL MADRID

VYOMBO vya habari nchini Hispania vimeripoti kuwa klabu ya Real Madrid imetenga kiasi cha pauni mil 52 ili kuinasa saini ya mlinda mlango wa Manchester United, David de Gea ambaye walimkosa msimu uliopita baada ya mambo kwenda ovyo dakika za mwisho.


Madrid inadaiwa kuanza mpango huo mapema huku suala la usajili wa De Gea likitumika kama chambo ya uchaguzi wa rais ndani ya klabu hiyo tajiri.

No comments