DIAMOND PLATNUMZ ANUNUA NDINGA JIPYA LA MATEMBEZI AFRIKA KUSIINI

BOSI wa kundi la Wasafi, Diamond Platnumz ameposti ndinga mpya aina ya Hummer kwa ajili ya kutembea anapokuwa kwenye mapunziko yake nchini Afrika Kusini.

Diamond ameposti picha hiyo akiwa huko Afrika Kusini na mpenzi wake "Boss Lady" Zari wa Uganda ambaye amemzalia watoto wawili.

“Ni kwa ajili ya matembezi yangu ninapokuwa mapunzikoni Afrika Kusini,”ilisomeka sehemu ya maneno katika akaunti yake ya Instagram.

Mbali na usafili huo, Diamond alifanikiwa kununua nyumba ya kifahali nchini Afrika kusini ambayo alitambulisha kwenye vyombo vya habari majuma kadha ya liyopita 

No comments