Diego Costa ameingia kwenye orodha ya wachezaji waliofunga magoli 50 kwenye Premier League baada ya kutupia mawili katika mchezo dhidi ya  Southampton Jumanne usiku.

Mshambuliaji huyo wa  Hispania amefikia hatua hiyo baada ya kuichezea Chelsea mechi 85.

Lakini Andrew Cole mshambuliaji wa zamani wa Newcastle na Manchester United, ndiye anayekuwa kijogoo baada ya kufikia magoli 50 katika michezo 65 tu.

Orodha ya wachezaji 20 waliofikia magoli 50 kwenye Premier LeagueUSISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac