MSHAMBULIAJI mtukutu wa kikosi cha Chelsea, Diego Costa ameripotiwa kutakiwa na miamba wa Ligi ya Ufaransa, Paris Saint-Germain mwishoni mwa msimu huu. 


Costa ambaye alikumbana na kejeli za mashabiki baada ya mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Crystal Palace, amegoma kukanusha taarifa zinazomuhusisha kutakiwa na PSG.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac