DORTMUND WASEMA PIERRE AUBAMEYANG ANAZIZINGATIA BARCELONA NA REAL MADRID TU

MWENYEKITI wa klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani, Hans Joachim amesema msghambuliaji wao Pierre Aubameyang atazingatia ofa kutoka klabu mbili tu duniani ambazo ni Barcelona na Real Madrid.

No comments