EDEN HAZARD APOTEZEA UVUMI WA KUTAKA KUTUA REAL MADRID

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Chelsea' Eden Hazard amesema kwamnba haumizwi kichwa na uvumi unaomhusisha kutaka kutua kwa miamba ya Hispania, Real Madrid kwa dau la pauni Mil 100.


Nyota huyo amesema kwamba anafurahia maisha ya London na wala hana mpango wa kuondoka Stamford Bridge hivi karibuni kama ambavyo inaelezwa bali atasubiri hadi kumalizika kwa mkataba wake mwaka 2020.

No comments