EDEN HAZARD ASEMA YEYE BADO SI MSANIFU WA MPIRA KAMA WAKINA ZIDANE, RONALDINHO JUAN NA MESSI

KIUNGO wa ushambuliaji wa Chelsea, mwenye umri wa miaka 26, Eden Hazard anasema bado si “msanifu wa mpira” kama Zinedine Zidane, Ronaldinho, Juan Riquelme au Lionel Messi.

No comments