ERIC BAILLY AFICHUA KUWA ALIKUWA MBIONI KUJIUNGA NA MAN CITY KABLA HAJAICHAGUA MAN UNITED


Eric Bailly amefichua kuwa alikuwa anakaribia kujiunga na Manchester City kabla hajaamua kutua Manchester United.

Sentahafu huyo wa kimataifa wa Ivory Coast alijiunga na Manchester United kwa pauni milioni 30 kutoka Villarrreal  ya Hispania na kuiacha City kwenye mataa.

Bailly anasema mazungumzo yake kwa njia ya simu na kocha wa United Jose Mourinho, ndiyo yaliyomshawishi kuchagua Old Trafford.

No comments