EVERTON YAPEWA USHAURI WA BURE... yaambiwa ikubali kumlipa Romelu Lukaku pauni 250,000 anazotaka

TONNY Cottee aliyewahi kuitumikia klabu ya Everton, ameuambia uongozi wa klabu hiyo kuingia mfukoni na kumlipa Romelu Lukaku mshahara wa pauni 250,000 kwa wiki kama ambavyo mshambuliaji huyo anataka.


TONNY alisema kuwa hakuna namna ambayo inaweza kufanyika ili kumshawishi Lukaku abaki Everton kwa msimu mwingine tena zaidi ya kukubaliana na matakwa yake ya kulipwa mshahara mkubwa.   

No comments