Bendi ya FM Academia “Wazee wa Ngwasuma” Ijumaa hii itawasha moto ndani ya Meeda Club Sinza ambapo zitangurumishwa nyimbo kali mpya na za zamani.


Msemaji wa FM Academia, Kelvin Mkinga ameiambia Saluti5 kuwa wadhamini wa onyesho hilo – Windhoek Lager na Meeda Executive Lodge wamewezesha onyesho hilo kufanywa kwa kiingilio cha sh.5ooo tu badala ya 10,000 kama ilivyozoeleka kwa show zao ndani ya Meeda Club.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac