GAEL CLICHY AMTETEA ARSENE WENGER ... asema umakini unahitajikwa

BEKI wa zamani wa Arsenal, Gael Clichy, 31, ambaye kwa sasa anakipiga na Manchester City amesema mashabiki wanaompinga Arsene Wenger wanapaswa kuwa makini kuhusu nini wanataka kwa ajili yao.

Clichy amesema bado Wenger ndiye mtu sahihi kwa kuingoza Arsenal katika msimu ujao.ge

No comments