GUARDIOLA KUMPELEKA MAN CITY DELE ALLI KWA DAU LA REKODI MPYA YA DUNIA


Pep Guardiola ana kiu ya kumtwaa nyota wa Tottenham Dele Alli na kumpeleka Manchester City katika dili litakalo vunja rekodi ya dunia, hii ni kwa mujibu wa kiungo wa zamani wa Barcelona  Xavi.

Alli, ambaye aliigharimu Tottenham pauni milioni 5 tu pale walipomnunua kutoka MK Dons mwaka 2015, amejitokeza kuwa mmoja wa wachezaji bora duniani.

Real Madrid ni timu nyingine inayotoa udenda juu ya saini ya Dele Alli.
No comments