Habari

HIZI NDIYO ‘MASHINE’ SITA ZINAZOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA ENGLAND

on

jinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka England kupitia PFA – Professional Footballers’ Association.
N’Golo Kante na Eden Hazard ambao wanafanya kazi kubwa ndani ya Chelsea msimu huu, ni miongoni mwa wanasoka hao sita wanaosakata kabumbu kwenye Ligi Kuu ya England.
Wengine ni Alexis Sanchez wa Arsenal, Zlatan Ibrahimovic wa Manchester United, Romelu Lukaku wa Everton na Harry Kane wa Tottenham.
Mshambuliaji kinda wa Tottenham, Dele Alli amekosekana kwenye orodha hiyo lakini ametajwa kuwania tuzo hiyo kwa upande wa wachezaji chipukizi.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *