IAN WRIGHT ASEMA ARSENAL INA HADHI NDOGO KUVUTIA WANANDINGA WENYE MAJINA MAKUBWA KIANGAZI HIKI

lAN Wright nyota aliyewahi kutamba kwenye kikosi cha Arsenal amesema kwamba klabu hiyo ina hadhi ndogo kuweza kuvutia wachezaji wenye majina makubwa kwenye kipindi cha majira ya kiangazi mwishoni mwa msimu huu.

No comments