INTER MILA WAITOLEA MBAVUNI OFA KUTOKA KLABU YA LIGI KUU ENGLAND KWA AJILI YA ANTONIUO CANDREVA

WAKALA wa Antonio Candreva ameweka wazi kuwa Inter Milan wameipiga chini ofa ya kutoka klabu ya Ligi Kuu England kwa ajili ya winga huyo mwenye umri wa miaka 30 raia wa Italia.

No comments