Mwimbaji na rapa wa TOT Band J4 Sukari amesema hakuna kitu anachokipigania  kama kufika alipo Christian Bella.

Akiongea na Afro TZ ya Radio One, Jumatatu usiku, J4 akasema kila kukicha anawaza namna gani atafikia mafanikio ya Christian Bella.


Tazama video hapo juu kusikia alichosema J4 juu ya Christian Bella.

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac