JAMES RODRIGUEZ ANAWEZA KUONDOKA REAL MADRID NA KUTUA KWINGINEKO LICHA YA KUIVUTIA LIVERPOOL

KLABU ya Liverpool inavutiwa na kumsaini mshambuliaji wa Real Madrid na Colombia mwenye umri wa miaka 25, James Rodriguez , lakini mwenyewe anaweza kuchagua kwingineko.

No comments