JEZI MPYA ZA NYUMBANI ZA LIVERPOOL USIPIME!


Liverpool wameziweka hadharani jezi zao mpya za nyumbani zitakazotumika msimu ujao utakaoenda sambamba na mwaka wao wa 125 tangu klabu hiyo izaliwe.

Klabu hiyo itazizindua rasmi jezi hizo katika mchezo wa mwisho wa Premier League msimu huu dhidi ya Middlesbrough ndani ya Anfield Mei 21.
Jezi mpya ya nyumbani ya Liverpool
Bukta inavyoonekana

Mwonekano wa jezi mpya ya Liverpool kwa ubavuni

No comments