JOSE MOURINHO AFUFUA MATUMAINI MANCHESTER UNITED

KOCHA Jose Mourinho ndiye kocha aliyefufua matumaini ya Manchester United kuwa timu bora tena tangu aondoke Alex Ferguson, makocha waliofuatia walionekana kukwama kuipa United mafanikio.

Lakini ujio wa Mourinho uliwafanya United matumaini yafukuke upya, msimu wake tu wa kwanza tayari ameshawapa United Kombe la EFL huku wakiendelea kulitafuta lile la Europa League.

Lakini huwezi kuamini pamoja na hayo yote Mourinho ndiyo kocha mwenye rekodi nbovu zaidi katika uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford.

Hadi sasa Mourinho amekubali kipigo kimoja tu Old Trafford lakini suluhu 8 na ushindi mara 6 katika michezo ambayo ameiongoza United wakiwa nyumbani Old Traford inampa Mourinho asilimia 40% za ushindi nyumbani ikiwa ni asilimia  chache zaidi kuwahi kutokea.


Ni asili mia ndogo tofauti na hasilimia ya David Moyes ambaye msimu.

No comments