JOSE MOURINHO AMFUNGULIA MILANGO LUKE SHAW

KOCHA Jose Mourinho wa Manchester United amemfungulia mlango wa kutokea beki wake wa kushoto Luke shaw kuondoka mwishoni mwa msimu huu majira ya kiangazi.


Kocha huyo ameweka wazi kuwa haridhishwi na mwenendo wa beki huyo na kwamba hapati hata nafasi ya kukaa kwenye benchi la Manchester United.

No comments