JOSE MOURINHO AMFUNGULIA MILANGO ZLATAN IBRAHIMOVIC

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kwamba hakuna analolifahamu kuhusu hatma ya mshambuliaji wake, Zlatan Ibrahimovic kama ataamua kubaki au kuondoka Old Trafford baada ya mkataba wake wa sasa kuisha mwishoni mwa msimu huu.


Mourinho amedai kwamba kamwe hatoweka kizuizi kwa Ibra kuondoka mwishoni mwa msimu huu ikiwa atataka kuchukua uamuzi huo.

No comments