JUMA KASEJA AZUNGUMZIA MIPANGO YA KUREJEA SIMBA


Tanzania One wa zamani, Juma Kaseja ambaye kwa sasa anaidakia Kagera Sugar, amezungumza uwezekano wa yeye kurejea Simba.

Akiongea na Sports HQ ya EFM leo asubuhi, Juma Kaseja aliongea mambo mengi likiwemo swali aliloloulizwa juu ya uwezekano wa yeye kuitumikia tena Simba.

Sikiliza kila alichoongea Kaseja kupitia video hiyo hapo juu.

Juma Kaseja kipa wa Kagera Sugar

No comments