TIMU ya Juventus ya nchini Italia imeripotiwa kumnyemelea beki wa Arsenal, Hector Bellerin ambaye anacheza nafasi ya kulia ili kukitia nguvu kikosi hicho cha Seria A msimu ujao.


Hector Bellerin anawindwa na klabu ya Barcelona ya nchini Hispania ambayo imepanga kufumua kikosi chake kwa nafasi ya ulinzi.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac