KARIM BENZEMA AMPA KYLIAN MBAPPE SOMO LA BURE… amtaka kujituliza kikosini kwake kuliko kusepa

 MSHAMBULIAJI wa timu ya Real Madrid, Karim Benzema amemtaka kinda wa Monaco, Kylian Mbappe kutulia kwenye kikosi hicho kipindi hiki kuliko kuwaza kuondoka akiwa na umri mdogo.


 Kinda huyo anawaniwa na klabu kubwa zikiwemo Real Madrid, PSG na Manchester United ya nchini England, jambo ambalo limepingwa na Karim Benzema raia mwenzie wa Ufaransa.

No comments