Jumanne usiku ndani ya mji wa Dodoma kunako chimbo la maraha la  Club Maisha, malkia wa mipasho Khadija Kopa alipiga show ya kibabe iliyopewa jina la “Usiku wa Makopa”

Khadija Kopa aliyetumbuiza kwa mfumo wa ‘play back’, akauteka ukumbi ulikuwa umejazana watu kinoma.

Mwana mama huyo akatesa na nyimbo zake kali zikiwemo “Mjini Chuo Kikuu” na “Top in Town” huku akiwatia wazimu mashabiki kwa namna alivyoweza kuunyambulisha mwili wake kwa manjonjo ya hali ya juu.
 Khadija Kopa katikati ya mashabiki wake
 Kopa akipagawisha mmoja wa mashabiki wake
Hivi ndivyo tangazo la Khadija Kopa lilivyojielezaUSISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac