KHADIJA KOPA KUMIMINA UHONDO WA PASAKA NDANI YA KAHAMA

Malkia wa mipasho Afrika Mashariki Khadija Kopa atakuwa ndani ya mji wa Kahama siku ya Pasaka, Aprili 16.
Khadija Kopa anakwenda kama jeshi la mtu mmoja (bila bendi yake ya Ogopa Kopa) ambapo atatumbuiza ndani ya ukumbi wa Kiwetu Kwetu Pub.
Moja ya nyimbo  zake zinazosubiriwa kwa hamu na wakazi wa Kahama, ni ngoma yake mpya “Mwanamke Jeuri Mchukulie Mumuwe”

No comments