Habari

KIPA JAN OBLAK WA ATLETICO KUTUA MANCHESTER UNITED …De Gea safari ya Real Madrid imepamba moto

on

Wawakilishi wa  Jan Oblak wa Atletico Madrid  wamepaa kwenda  Manchester kwa mazungunzo ya kipa huyo kutua Old Trafford.
Kuna uwezekano mkubwa kuwa kipa namba moja wa Manchester United David De Gea atajiunga na Real Madrid kiangazi hiki na sasa klabu hiyo inabisha hodi kwa mara nyingine tena Atletico Madrid.
Ikumbukwe De Gea alisajiliwa na Manchester United kutoka Atletico mwaka 2011 kwa dau la pauni milioni 18.9.

Gazeti la Manchester Evening News limethibitisha kuwa wawakilishi wa Oblak mwenye umri wa miaka 24 wako mazungumzoni na Manchester United.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *