KLABU TATU KUBWA ENGLAND ZAMWEKA MIROSLAV KLOSE NJIAPANDA

MIROSLAV Klose anajikuta bado yupo njia panda kwa klabu tatu kubwa kusaka saini yake kwa ajili ya msimu ujao.

Tayari timu za Manchester City, Liverpool na PSG zote zimeanzisha mazungumzo naye.

Pamoja Man City na PSG pia Genoa nao wameingia katika mbio hizi za kumwania mwanandinga huyo ambaye kwa sasa yupo huru.

Klose amekuwa anatumika kama kiungo mshambuliaji katika kikosi cha Lorient katiksa ligi ya msimu msima uliopita.

Straika huyo wa Lazio amekuwa katika mpango wa kutaka kuondoka studio Olimpinco na anahusishwa na usajili wa dirisha la kiangazi.

“Kucheza soka hapa ndiyo matarajio yangu na hata familia yangu inajisikia fauraha nikiwa hapa stadio Olmpinco nami nafurahi kuona ninathaminiwa kwa kiwango kikubwa,” alisisitiza.

Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 36 alipangwa katika kikosi katika mechi nne huku akitokea benchi katika michezo saba na amefunga mabao matatu.

No comments