KWA USHANGILIAJI HUU UNAWEZA UKAMLAMBA KIBAO MOURINHO


Hivi ndivyo kocha wa Manchester United Jose Mourinho alivyolipokea bao la ushindi lililofungwa na Rashford dakika ya 107 ambapo kocha huyo mwenye makeke mengi alijikuta akishngilia kwa staili ya kuumiza roho.

Mbale yake ni kocha wa Anderlecht Rene Weiler ambaye ni kama alikuwa anapigwa mkwara fulani na Mourinho baada ya bao hilo kutinga wavuni.

No comments