LA LIGA WEE WACHA TU ...BARCELONA YAPIGA MTU 7-1, REAL MADRID BILA RONALDO YASHINDA 6-2

Lionel Messi amafunga mara mbili wakati Barcelona ikiitandika Osasuna 7-1 na kuendelea kukaa kileleni mwa La Liga.

Wakati Barcelona ikiangusha karamu hiyo, Real Madrid nayo ikicheza bila Cristiano Ronaldo, ikaifumua Deportivo La Coruna 6-2 huku mshambuliaji anayesugua benchi James Rodriguez akifunga magoli mawili.

No comments