Chelsea imejikita kileleni mwa Ligi Kuu ya England kwa pointi saba baada ya kuichapa Southampton 4-2 ndani ya Stamford Bridge.


Magoli ya Chelsea yamefungwa na Eden Hazard, Gary Cahill na Diego Costa aliyetupia mara mbili huku yale ya Southampton yakifungwa na Oriol Romeu na Ryan Bertrand.

Chelsea (3-4-2-1): Courtois 6.5; Azpilicueta 7, Luiz 7, Cahill 7.5; Moses 6.5 (Terry 85), Matic 7, Kante 7.5, Fabregas 7.5 (Pedro 76), Alonso 6.5; Hazard 7.5 (Willian 89), Costa 8.
Wafungaji: Hazard 5, Cahill 45+1, Costa 53, 89

Southampton (4-3-3): Forster 5.5; Soares 6, Yoshida 6.5, Stephens 6.5, Bertrand 6.5; Davis 6.5, Romeu 7, Ward-Prowse 7 (Long 81); Tadic 6, Gabbiadini 7 (Rodriguez 85), Boufal 6 (Redmond 68, 6).
Wafungaji: Romeu 24, Bertrand 90+4

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac