LIVERPOOL YAJIPANGA KUZIVAA TOTTENHAM NA EVERTON VITA YA KUMSAJILI KIUNGO WA SCHALKE

LIVERPOOL inajiandaa kuungana na Tottenham na Everton katika vita ya usajili wa pauni mil 45 kwa kiungo wa Schalke na Ujerumani mwenye umri wa miaka 21, Max Meyer.

No comments