MAMADOU SAKHO ‘NDO BASI’ TENA MSIMU HUU


Beki wa Liverpool Mamadou Sakho anayeichezea Crystal Palace kwa mkopo, huenda asicheze tena msimu huu baada ya kuumia goti katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Tottenham.

Sakho ambaye yupo kwenye kiwango bora, aliumia dakika ya 54 wakati akijaribu kumkaba mshambuliaji wa Tottehham Harry Kane.

Hapa ndipo Mamadou Sakho alipoumia goti lake
No comments