MANCHESTER UNITED WAZIDISHA KASI KUMPATA KIUNGO TIEMOUE BAKAYOKO WA MONACO

MANCHESTER United wameongeza juhudi zao za kumsaini kiungo wa Monaco mwenye umri wa miaka 22 ambaye ana thamani ya pauni mil 40, Tiemoue Bakayoko.

No comments